top of page
Image by Aaron Burden

Life Wisdom

Dar es Salaam
+255 656 588 717 (WhatsApp)
enosmwakalindile@gmail.com

Tunaongea

Shiriki maswali na  maoni yako kuhusu  mada mbalimbali za Biblia katika majukwaa yetu mbalimbali ya mtandaoni. Sauti yako ni muhimu

tUNAJIFUNZA

Jifunze nasi ukristo pamoja na  Enos Mwakalindile, mchungaji   aliyefundishwa kujifunza na kufundisha Biblia. 

TUNAONGOZWA

Tembelea miongozo mbalimbali ya kujifunzia Biblia na kuifurahia ili ujengeke kiimani.

Machapisho ya Sasa

Shuhuda za Wanafunzi

Mafundisho ya Biblia ya Maisha Kamili yamebadili safari yangu ya kiroho kwa njia ambazo sikuwahi kufikiria.

John Haule

Nyenzo zinazotolewa na Maisha Kamili zimesaidia sana katika kuongeza uelewa wangu wa Biblia.

Baraka Mwangi

Ninashukuru sana kwa fursa ya kujifunza na kukua kiroho kupitia mafundisho ya Maisha Kamili.

Joyce Komba

Ikiwa ungependa kushiriki

Je, moyo wako umeguswa kushirikiana na Pr Enos  Mwakalindile katika huduma ya  kufundisha Biblia mtandaoni pasipo mipaka, bila malipo? Maoni, maombi, na mkono wako ni muhimu. Tuma

ujumbe wako +255 656 588 717 (WhatsApp) au hapa chini uingie  katika  furaha ya ushirika nasi wa kutumika shambani mwa Bwana

Asante kwa kushirikiana nasi

Enos.jpg
MaishaKamiliLogo.jpg
bottom of page